Mtunzi: Gabriel Kapungu
> Mfahamu Zaidi Gabriel Kapungu
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel Kapungu
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Gabriel Kapungu
Umepakuliwa mara 279 | Umetazamwa mara 1,750
Download NotaUnirehemu sawasawa na fadhiri zako, sawasawa na fadhiri zako * 2
1: Unioshe kabisa uovu wangu, unitakase dhambi zangu.
2:Nimekutendea dhambi wewe, na kufanya maovu mbele yako.
3:Wewe Bwana Mungu kinga yangu,unionyeshe njia zako.