Ingia / Jisajili

Kilio chetu.

Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Derick Nducha

Umepakuliwa mara 492 | Umetazamwa mara 1,452

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu Baba ukisikie kilio chetu (sisi) Shetani atuhangaisha sana, Maovu nayoyamezidi mmno Ee Mungu utuangalie kwa jicho lako la huruma.*2 Mashairi;- 1.Watu wanauwana kwasababu ya pesa Ee Mungu utusaidie. 2.Albino wanateswa kwa ulemavu wao Ee Mungu uwasaidie. 3.Haki zetu twanyang'anywa Elimu hatuna Ee Mungu utusikilize. 4.Watoto yatima wamekua watumwa Ee Mungu uwatazame.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa