Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 705 | Umetazamwa mara 2,339
Download Nota Download MidiKwa mafaa yetu kwa mafaa yetu kwa mafaa yetu kwa mafaa yetu sisi na mafaa ya kanisa na mafaa ya kanisa lako lote takatifu X2
1. Utukuzwe Ee Bwana Mungu wa ulimwengu maana kwa wema wako tumepokea mkate huu tunaokutolea2. Utukuzwe Ee Bwana Mungu wa ulimwengu maana kwa wema wako tumepokea divai hii tunayokutolea
3. Mkate huu ni mazao ya nchi na kazi ya mikono yetu tujaliwe uwe kwetu mkate wa uzima
4. Divai hii ni tunda la mzabibu na kazi ya mikono yetu tujalie iwe kwetu kinywaji cha roho