Ingia / Jisajili

Astahili Mwanakondoo

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Mwanzo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 1,029 | Umetazamwa mara 1,936

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka A
- Mwanzo Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka B
- Mwanzo Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima, Utukufu na ukuu una yeye hata milele na milele X2

1. Baraka na heshima na utukufu na uweza una yeye aketiye juu ya kiti cha enzi na yeye Mwanakondoo hata milele na milele

2. Ndiye Alfa na Omega yani mwanzo na mwisho Bwana Mungu aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja atakayekuja Mwenyezi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa