Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 14 | Umetazamwa mara 16
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka C
Ondoka ee Yerusalemu usimame juu uione furaha inayokujia kutoka kwa Mungu wako X2</p>1. Angalia wana wako wanakuja uliowaaga wanajikusanya toka mashariki hata magharibi</p>2. Tazama upande wa mashariki uangalie toka machweo hata mawio ya jua wanao wanakusanyana