Ingia / Jisajili

UPOKEE WIMBO WA KUKUSIFU

Mtunzi: Daniel Denis
> Mfahamu Zaidi Daniel Denis
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel Denis

Makundi Nyimbo: Juma Kuu

Umepakiwa na: Daniel Denis

Umepakuliwa mara 216 | Umetazamwa mara 953

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Chorus: Ee mkombozi upokee wimbo wa kukusifu 1.Ee Hakimu wao wafu tumaini la pekee,wasikie waletaomfano wake Amani 2.Tunda hili la mwanga lahitaji Baraka, linaletwa kwa ibada kwa mokozi wa wote. 3.Na Askofu asimame altareni kusali, abariki Krisma hiyo atimize wajibu. 4.Siku hii iwe kwetu kuu ya milele takatifu yatukuka wala isififie kwamwe.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa