Ingia / Jisajili

Usiziache Kazi Za Mikono Yako (Ee Bwana Fadhili Zako Ni Za Milele)

Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Richard Samson

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 21 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Zab.138:1-3,6,8(K)8

Ee Bwana fadhili zako ni za milele, usiziache usiziache, kazi za mikono yako x2.

1. Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, mbele ya miungu nitakuimbia zaburi, nitasujudu nikilikabili hekalu lako Takatifu

2. Nitalishukuru jina lako, kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako, kwa maana umeikuza ahadi yako kuliko jina lako lote, siku ile niliyokuita uliniitikia, ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.

3. Ingawa Bwana yuko juu, amwona mnyenyekevu, naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali, Ee Bwana fadhili zako ni za milele, usiziache kazi za mikono yako


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa