Ingia / Jisajili

Enendeni Ulimwenguni Mwote-Ii

Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Richard Samson

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 21 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Enendeni ulimwenguni mwote,
Mkaihubiri Injili x2

1. Aleluya! Enyi mataifa yote, msifuni Bwana, Enyi watu wote, mhimidini
2. Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, Na uaminifu wa Bwana ni wa milele.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa