Maneno ya wimbo
                UTANIJULISHA NJIA
UTANIJULISHA JULISHA NJIA, NJIA YA UZIMA WA MILELE X2
1.	MUNGU UNIHIFADHI MIMI, KWA MAANA NAKUKIMBILIA WEWE, NIMEMWAMBIA BWANA, NDI-WE BWANA WA-NGU;
 (…) 
BWANA NDIYE FUNGU LA POSHO LANGU, NA LA KIKOMBE CHANGU WEWE UNAISHIKA, KURA YANGU.
2.	NITAMHIMIDI BWANA, ALIYENIPA SHAURI, NAAM MTIMA WANGU, UMENIFUNDISHA USIKU; 
(…)
NIMEMWEKA BWANA MBELE YANGU DAIMA, KWAKUWA YUKO KUUMENI KWANGU, SITAONDOSHWA.
3.	KWA HIYO MOYO WANGU UNAFURAHI, NAO UTUKUFU WANGU UNASHANGILIA, NAAM MWILI WANGU NAO, UTAKAA KWAKUTUMAINI; 
(…) 
MAANA HUTAKUACHIA KUZIMU, NAFSI YANGU WALA HUTAMTOA, MTAKATIFU WAKO AONE, UHARIBIFU.
            
                                    
                Nyimbo nyingine za mtunzi huyu