Ingia / Jisajili

Utuinulie Nuru Ya Uso Wako

Mtunzi: Paulo Prince Kabazo
> Mfahamu Zaidi Paulo Prince Kabazo
> Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Prince Kabazo

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Paulo prince kabazo

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 16

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 3 ya Pasaka Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
K/ Utuinulie nuru, utuinulie nuru, utuinulie nuru, nuru ya uso wako. 1. Katika amani nitajilaza nakupata usingizi maana wewe Bwana ndiwe unijaliaye kukaa salama. 2. Ee Mungu wa haki yangu uniitikie, uniitikie ninapokuita

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa