Mtunzi: Paulo Prince Kabazo
> Mfahamu Zaidi Paulo Prince Kabazo
> Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Prince Kabazo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Paulo prince kabazo
Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 5
Download Nota Download MidiUtushibishe kwa fadhili zako Bwana (kwafadhili zako) nasi tufurahi Siku zote
1. Basi utujulishe kuzi hesabu siku zetu, hili tujipatie moyo wa hekima.
2. Na uzuri wa Bwana Mungu Uwe juu yetu, na kazi ya mikono yetu uithibitishe ee Bwana.