Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Deogratias Mhumbira
Umepakuliwa mara 763 | Umetazamwa mara 3,027
Download NotaUtulishe kwa chakula cha mwili na roho Ee Bwana na damu yako kinywaji safi ni kinywaji safi kinaburudisha roho zetu tunakuja kwako tushibishe
1. Hiki ni chakula toka mbinguni kinatushibisha roho zetu
2. Aulay mwili na kunywa damu anao uzima wa milele
3. Alisema tule mwili na damu tupate uzima wa milele