Ingia / Jisajili

Hongera Kwa Kufunga Ndoa

Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,560 | Umetazamwa mara 7,413

Download Nota
Maneno ya wimbo

Christian na Bi Veneranda x 2
Hongera ni shangwe kubwa kwa kufunga ndoa yenu.
Bwana awabariki muishi maisha mema ya kumpendeza Mungu,
Mkavumiliane mkaheshimiane siku zote za maisha yetu. 

  1. Mpende sana mke wako mzae watoto wa Mungu Baba.
     
  2. Na mlitunze pendo lenu mlilojaliwa na Mungu Baba. 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa