Mtunzi: Anophrine D. Shirima
> Mfahamu Zaidi Anophrine D. Shirima
> Tazama Nyimbo nyingine za Anophrine D. Shirima
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana | Mafundisho / Tafakari | Miito
Umepakiwa na: Anophrine desdeus
Umepakuliwa mara 488 | Umetazamwa mara 2,197
Download Nota Download MidiKIITIKIO.
Basi enendeni,enendeni ulimwenguni kote x 2, Mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe,hubirini ile Injili.
MAIMBILIZI.
1.Msitahayari sababu ya umri mdogo, maana mtakwenda kwa kila nitakayewatuma kwake, nanyi mtasema kila nitakalowaamuru.
2.Msiogope kwa sababu ya hao, maana mimi nipo pamoja nanyi, pamoja nanyi ili niwaokoe.
3.Sharti Injili ihubiriwe kwa wote, ndio utume tuliopewa na Mungu, "kuichachusha dunia kwa neno lake".