Ingia / Jisajili

Utume Wa Uimbaji

Mtunzi: A. J. Msangule
> Tazama Nyimbo nyingine za A. J. Msangule

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Watakatifu

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 5,017 | Umetazamwa mara 9,030

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Utumwe wa uimbaji ni utume bora, ulipata kibali machoni pake Bwana x 2
Ulibarikiwa kwa kwanza na kutakaswa na Mungu mwenyezi yeye aliwateua makundi ya malaika ili wamuimbie kwenye makao yake x 2

  1. Nasi tuudumishe, utumwe wa uimbaji,
    (tuige mfano wa somo wetu Mtakatifu Cesilia.) x 2
     
  2. Kweli ni neno jema, kumuimbia Bwana,
    (kwa kinanda ngoma baragumu tumsifu Mungu wetu) x 2
     
  3. Kweli ni neno jema, kumuimbia Bwana,
    (tuungane nao Malaika tumwimbie Mungu wetu) x 2

Maoni - Toa Maoni

Baraka Mapunda Oct 29, 2021
Kazi nzuri

Toa Maoni yako hapa