Mtunzi: John Mlelwa
> Mfahamu Zaidi John Mlelwa
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mlelwa
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: John Mlelwa
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 10
Download Nota Download MidiKiitikio: Uwe kwangu mwamba wa nguvu, uwe kwangu mwamba wa nguvu nyumba yenye maboma ya kuniokoa
1. Ndiwe genge langu na ngome yangu, kwaajili ya jina lako, uniongoze na unichunhe
2. Utanitoa katika wavu, walionitegea Kwa siri, maana wewe ni ngome yangu