Ingia / Jisajili

Ewe Mama Maria

Mtunzi: John Mlelwa
> Mfahamu Zaidi John Mlelwa
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mlelwa

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: John Mlelwa

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Ewe Mama Maria msaada wetu Ee Mama, utuombee, utuombee, utuombee kwa mwanao Yesu X2

Shairi 1 - Uzipokee sala zetu tunazozileta kwako, uzifikishe kwa mwanao Yesu na kwa Mungu Baba

Shairi 2 - Uwe mlinzi wetu katika kila ngazi, katika familia, jumuiya na Makanisa


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa