Ingia / Jisajili

Twendeni Mezani

Mtunzi: John Mlelwa
> Mfahamu Zaidi John Mlelwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: John Mlelwa

Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 32

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Twendeni mezani Bwana anatualika, twende kwake tukiwa wasafi wa Roho, Ee mkristo inuka, jongea Kwa karamu safi yenye uzima

1. Mwili mtakatifu wa Yesu, ni chakula chetu cha uzima

2. Damu takatifu ya Yesu, ni kinywaji chetu cha uzima

Twendeni wakristo Kwa Yesu, tupate uzima WA milele


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa