Ingia / Jisajili

Uzima Tele

Mtunzi: SIMON.M.MANDA
> Mfahamu Zaidi SIMON.M.MANDA
> Tazama Nyimbo nyingine za SIMON.M.MANDA

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Arnold Rutaihwa

Umepakuliwa mara 134 | Umetazamwa mara 325

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Karibuni mezani kwa chakula chenye uzima tele Bwana ametuandalia kwa upendo twende mezani pake kwa chakula bora X2 1. Chakula chenye uzima twende sote tukapokee tupate uzima. 2. Kinywaji chenye uzima twende sote tukapokee tupate uzima. 3. Usisite ndugu twende twende sote tukapokee tupate uzima.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa