Ingia / Jisajili

Vipaji vyetu

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: John Emanueli

Umepakuliwa mara 166 | Umetazamwa mara 823

Download Nota
Maneno ya wimbo
Vipaji vyetu tunavileta kwako uvipokee mazao yetu tunayaleta kwako uyapokee vitu vyote tulivyonavyo vinatoka kwako tunaomba uvipokee wewe mungu wetu tunakuomba bwana mungu uvipokeex2 mashairi: 1(a) mazao ya mashambani tunaleta kwako uyapokee, (b) na fedha za mifukoni tunaleta kwako uvipokee: 2(a) kazi za mikono yetu tunaleta kwako uvipokee, (b) sadaka za waamini tunaleta kwako uvipokee: 3(a) na nafsi zetu sisi tunaleta kwako uzipokee, (b) pia utuepushe na vikwazo vya shetani muovu:

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa