Ingia / Jisajili

VITAKATI YENU NA MAPIGANO

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 53 | Umetazamwa mara 314

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
VITA KATIYENU NAMA PIGANO VINATOKA WAPI VINA TOKA KATIKA TAMAA ZENU MBAYA X2. 1.Ndugu zangu mwatamani walls hamwezi kupata mwauwa na kuona wivu Wala hamwezi kupata.2.Mwafanya Vita wenyewe .nakupigana wenyewe Wala hakuna kitu KUWA mna tenda dhambi..3.Hata mwa omba lakini ampatiwi kwa sababu mwaomba vibaya m vitumie kwa TAMAA TAMAA ZENU.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa