Ingia / Jisajili

Ee Bwana Ulimwengu Wote Ukatika Uwezo Wako No 2

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 35 | Umetazamwa mara 52

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA ULIMWENGU WOTE UKATIKA UWEZO WAKO .WALA HAKUNA AWEZAYE KUYAPINGA MAPENZI YAKO X2.fine.(1) Wewe umeviumba mbingu na nchi.na vitu vyote vya ajabu vilivyopo chini ya mbingu.nawe ndiwe Bwana Bwana wa vyote.(2) Ee Mungu mwenyezi wa mile.kwa wingi wauruma yako wayatenda mambo mengi.mambo mengi ya ajabu.(3).Utushushie rehema yako Bwana. Utuondolee Yale ya nayotuletea hofu.hofu ya dhamila zetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa