Ingia / Jisajili

WAACHENI WATOTO

Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 665 | Umetazamwa mara 2,550

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                     WAACHENI WATOTO

Yesu akawaambia waacheni hao (Watoto) waje kwangu ...x2

Wala msiwazuie kwa maana ufalme wa Mbingu ni kwa ajili ya hao walio kama Watoto hao ..x2

1.Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse lakini wanafunzi wakawakemea.

2.Yesu alipoona hivyo alikasirika akaambia waacheni hao watoto waje kwangu.

3.Nawaambieni yo yote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama hao watoto hataingia.

4.Kila kitu mlichomtendea mmoja wa hao ijapo mdogo ijapo mdogo mmenitendea Mimi.

5.Maana nilikuwa na njaa mkanipa chakula nikawa na kiu nikawa na kiu mlinipa maji.

6.Nilikuwa mgeni nanyi mkanikaribisha nilikuwa uchi nilikuwa uchi mkaja kunivika.

7.Nilikuwa mgonjwa mkaja kunitazama `kawagerezani nanyi mkaja kunitembelea.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa