Ingia / Jisajili

Roho Itiayo Uzima

Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 7

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Roho ndiyo itiayo uzima nao mwili haufai kitu x2

Maneno hayo ninayowaambia ni Roho tena ni uzima x2

1)Sheria ya bwana ni kamilifu huiburudisha nafsi ushuhuda wa Bwana ni amini humtia mjinga hekima.

2)Maagizo ya Bwana ni ya adili huufurahisha moyo, amri ya Bwana ni safi huyatia macho nuru.

3)Kicho cha Bwana ni kitakatifu kinadumu milele, hukumu za Bwana ni kweli zina haki haki kabisa.

4)Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo wangu yapate kibari mbele za Bwana mwamba na mwokozi     

      wangu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa