Ingia / Jisajili

Wachungaji wakaenda

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: John Emanueli

Umepakuliwa mara 657 | Umetazamwa mara 1,275

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wachungaji wakaenda kwa haraka wakamkuta Maria na yosefu na yule mtoto mchanga amelala horinix2. SHAIRI; (1) walipomwona wakatoa habari waliyoambiwa juu ya huyo mtoto yesu. (2) wachungaji wakatoa dhahabu pia na uvumba wakamtolea mtoto yesu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa