Ingia / Jisajili

Wafuasi Walimtambua Bwana Yesu

Mtunzi: Kelvin Pascal Chambulila
> Mfahamu Zaidi Kelvin Pascal Chambulila
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Pascal Chambulila

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: KELVIN CHAMBULILA

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 32 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 32 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 32 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Wafuasi walimtambua Bwana Yesu katika kuumega mkate.

  1. Alisimama katikati yao akawaambia; amani iwe kwenu.
  2. Wakashituka wakaogopa sana wakidhani ya kwamba wameona roho
  3. Akawambia mbona mwafadhaika? Na kwanini mnaona shaka mioyoni mwenu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa