Ingia / Jisajili

Mwenye Kuitafakari

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 62 | Umetazamwa mara 99

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Jumatano ya Majivu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mwenye kuitafakari sheria ya Bwana mchana na usiku atazaa matunda yake kwa majira yake X2

1. Heri walio kamili njia zao waendao katika sheria katika sheria ya Bwana

2. Heri wazitiio shuhuda zake wamtafutao kwa moyo wote wamtafutao Bwana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa