Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 558 | Umetazamwa mara 2,166
Download Nota Download MidiWAHUBIRINI MATAIFA
KIITIKIO: Wahubirini mataifa habari, habari za utukufu wake x2
MASHAIRI
1.Mwi-mbieni-Bwana wimbo mpya, mwi-mbieni Bwana nchi yote,mwimbieni Bwana libarikini jina lake.
2.Tangazeni wokovu wake siku kwa siku,wahubirini mataifa habari,na watu wote habari za maajabu yake.
3.Mpeni Bwana enyi jamaa za- watu,mpeni Bwana utukufu na nguvu, mpeni Bwana- utukufu wa jina lake.