Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 308 | Umetazamwa mara 1,701
Download Nota Download MidiSASA NI WAKATI WA KUIJONGEA
Sasa ni wakati wa kuijongea meza yake Bwana imeandaliwa tukale chakula cha uzimaX2
1.Imeandaliwa karamu mezani,tukale ili tupate uzima.
2.Chakula cha roho kimeandaliwa, tu-mealikwa sote twendeni.
3.Shimeshime sote twende tuungane,twende pamoja tukampokee.