Mtunzi: Br. Charles Nachinguru, Ofmcap.
> Mfahamu Zaidi Br. Charles Nachinguru, Ofmcap.
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Charles Nachinguru, Ofmcap.
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Emmanuel Mwita
Umepakuliwa mara 1,803 | Umetazamwa mara 3,673
Download Nota Download MidiWAHUBIRINI MATAIFA
Wahubirini mataifa (habari) habari za utukufu wake x2
1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana nchi yote, Mwimbieni Bwana libarikini jina lake.
2. Tangazeni wokovu wake siku kwa siku, wahubirini mataifa habari za utukufu wake, na watu wote habari za maajabu yake.
3. Mpeni Bwana enyi jamaa za watu, mpeni Bwana utukufu na nguvu, mpeni Bwana utukufu wa jina lake.