Mtunzi: Br. Charles Nachinguru, Ofmcap.
> Mfahamu Zaidi Br. Charles Nachinguru, Ofmcap.
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Charles Nachinguru, Ofmcap.
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Emmanuel Mwita
Umepakuliwa mara 1,141 | Umetazamwa mara 4,852
Download Nota Download MidiYESU KRISTO NI YULE YULE
Yesu Kristo jana, Yesu Kristo leo, Yesu Kristo daima, (Kristo) ni yule yule Yesu Kristo (yule yule) x2
1. Kristo Njia, Kristo Kweli, Kristo Uzima, Kristo Upendo.
2. Katufunulia Baba, katushushia Roho Mtakatifu.
3. Yeye Mfalme na Mtawala, Enzi ni zake na karne ni zake.
4. Kristo Mwanzo, Kristo Mwisho, Kristo ni Mungu, Kristo ni Mkombozi.
5. Kristo nguvu, Kristo Ne'ma, Kristo Mtukufu, Kristo ni kikomo.