Maneno ya wimbo
WAIPELEKA ROHO YAKO
Waipelekarohoyakoee Bwana, nawewaufanyaupyausowanchi *2
Waipelekaroho, waipelekaroho, waipelekarohoyako, waipelekarohoyako
Nawewaufanyaupya, waufanyaupyausowanchi *2
1. Eenafsiyangu, umhidi Bwana, wewe Bwana Munguwangu, umejifanyamkuusana
Ee Bwana, jinsiyalivyomengimatendoyako, dunia imejaamaliyako
2. Waiondoapumziyao, wanakufa, nakuyarudiamavumbiyao,
Waipelekarohoyako, wanaumbwa, nawewaufanyaupyausowanchi
3. Utukufuwa Bwana naudumumilele, Bwana naayafurahiematendoyake
Kutafakarikwangunakuwekutamukwake, miminitamfurahia Bwana
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu