Maneno ya wimbo
                KISHA NIKAISIKIA SAUTI YA BWANA
(Kisha nikaisikia, sautiya Bwana akisema, nimtumenani, nayeninani, nimtumenani, nayeninani, atakayekwendakwaajiliyetu) *2 (Ndiponiliposemamimihapanitume, ndiponiposema, nikasemamiminitume) *2
1.	Tazamanimekujakuyafanyamapenziyako, eeMunguwangu, ndiyofurahayangu, naam, sheria yakoimomoyonimwangu
2.	NimehubiriHabari za hakikatikakusanyikokusanyikokubwa, sikuizuiamidomoyangu, ee Bwana unajua
3.	Sikuisitirihakiyakomoyonimwangu, nimetangazauaminifuwakonawokovuwako
Sikufichafadhiliyakowalakweliyakokatikakusanyikokusanyiko kubwa.
            
                                    
                Nyimbo nyingine za mtunzi huyu