Ingia / Jisajili

Sala Yangu Bwana Ipae Juu

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 73 | Umetazamwa mara 357

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
SALA YANGU BWANA IPAE JUU Sala yangu Bwana ipaejuuipaembelezakokamamoshiwaubani *2 1. Hiiharufunzuriifikehukoulikohatakwako Bwana kuwenaharufunzuri 2. Ni kwasifazako pia utukufuwakojinalako Bwana litukuzwemilele 3. ItupatanishenaweweMungu Baba tujaliesisirehemanabaraka 4. Ndaniyetu Baba tunazosalazetunazikufikiehukouliko Baba

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa