Ingia / Jisajili

Waipeleka Roho

Mtunzi: Elias Majaliwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias Majaliwa

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 10,620 | Umetazamwa mara 17,189

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Waipeleka Roho, Roho yako Ee Bwana, Roho yako ee Bwana x 2
Nawe waufanya waufanya upya uso uso wa nchi, nawe waufanya upya waufanya upya uso waufanya upya uso wa nchi uso uso wa nchi x 2

  1. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana wewe Bwana Mungu wangu, umejifanya mkuu sana, ee Bwana jinsi yalivyo mengi matendo yako. Dunia imejaa imejaa mali zako.
     
  2. Waiondoa pumzi yao wanakufa na kuyarudia mavumbi yao, waipeleka Roho yako wanaumbwa nawe waufanya upya uso uso uso wa nchi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa