Ingia / Jisajili

Meza Ya Upendo

Mtunzi: Elias Majaliwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias Majaliwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Lawrence Nyansago

Umepakuliwa mara 5,578 | Umetazamwa mara 11,540

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MEZA YA UPENDO

Heri yetu sisi heri yetu sisi kujongea meza meza ya uzima kujongea meza ya upendo, ||njoni wote Yesu atuita tujongee meza ya uzima uzima wa roho zetu|| x2

  1. Yesu rafiki na mwalimu mwema, anatuita twendeni mezani, ameandaa chakula cha uzima, mwili na damu wa Yesu ni uzima twendeni tujongee meza ya uzima wa roho zetu.
  2. Ekaristia ni fumbo tukufu, yaani mwili damu yake Yesu, wanayo heri wanaoijongea, meza ya Bwana wakiwa ni wasafi tujiweke tayari ndipo tujongee meza ya Bwana
  3.  

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa