Mtunzi: Elias Majaliwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias Majaliwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Shukrani
Umepakiwa na: DANIEL NSUBILE
Umepakuliwa mara 7,937 | Umetazamwa mara 13,636
Download Nota Download MidiMAJALIWA ELIAS
IFAKARA-PARISH
Salini kila wakati, nakushukuru katika kila jambo.
(Liwe baya liwe zuri kwa Mungu yote ni sawa
Liwe baya liwe zuri kwa Mungu yote ni sawa
Kweli kwa Mungu yote ni sawa) X2
1. Furahini siku zote ombeni bila kukoma, maana mapenzi ya Mungu ni katika Kristo Yesu.
2. Mpatwapo na misiba ombeni bila kukoma, maana mapenzi ya Mungu ni katika Kristo Yesu.
3. Mkipata masumbuko ombeni bila kukoma, maana mapenzi ya Mungu ni katika Kristu Yesu.