Ingia / Jisajili

Wana Meremeta

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 13,493 | Umetazamwa mara 20,147

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
 1. Leo ndiyo leo, leo shangwe leo, leo ndiyo leo, leo tufurahi wote
  Leo ndiyo leo, leo shangwe leo, leo ndiyo leo, leo tufurahi wote

  Wana meremeta, wana meremeta, wana meremeta, wana meremeta, wapendwa wana meremeta, wana meremeta, tazama wana waka waka, wana meremeta

   
 2. Katenda makuu leo shangwe leo, leo ndiyo leo leo tufurahi wote
  Tumpe utukufu leo shangwe leo, leo ndiyo leo leo tufurahi wote
   
 3. Bazili na Fransisca leo shangwe leo, leo ndiyo leo leo tufurahi wote
  Wameunganishwa leo shangwe leo, leo ndiyo leo leo tufurahi wote
   
 4. Atukuzwe Baba leo shangwe leo, leo ndiyo leo leo tufurahi wote
  Na mwana na roho leo shangwe leo, leo ndiyo leo leo tufurahi wote

Maoni - Toa Maoni

Gabriel G. Mmole Dec 07, 2019
Kiukweli bila kupendelea na kwa kumwogopa Mungu, Mko vizuri sana, cjapata ona website inatoa huduma nzuri namna hii kwa wakatoliki wapenzi wa kwaya. Vip audio za hizi hazipatikani?

Toa Maoni yako hapa