Ingia / Jisajili

Watu Wote Wakushukuru

Mtunzi: Melchior Basil Syote
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchior Basil Syote

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 13,976 | Umetazamwa mara 20,872

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Watu na wakushukuru Ee Mungu watu wote na wakushukuru watu wote na wakushukuru Bwana x 2

  1. Mungu na atufadhili na kutubariki na kutuangazia uso wake njia yake ijulikane duniani.
     
  2. Na wokovu wake ujulikane katikati ya mataifa yote.
     
  3. Mataifa na washangilie, naam waimbe kwa furaha na kwa haki utawahukumu watu na kuwaongoza mataifa duniani.

Maoni - Toa Maoni

Stephanie Dec 12, 2019
music

Apr 25, 2016
wimbo huu "watu na wakushukuru" wa Mzee Syote sauti ya pili pale kwenye watu wote na wakushukuru kwa sauti ya pili naona kama pako tofauti kidogo kwenye ile accidental pale nadhani palifaa kuwa (so:so:do:ti:la:la:so:so:fi:so) hii tuliyoupload huku inasomeka (so:so:do:ti:la:la:so:fi:fi:so). ELVIS PETER 0755630726

Toa Maoni yako hapa