Ingia / Jisajili

Waufumbua mkono wako

Mtunzi: Edward D. Challe
> Mfahamu Zaidi Edward D. Challe
> Tazama Nyimbo nyingine za Edward D. Challe

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Edward Challe

Umepakuliwa mara 149 | Umetazamwa mara 327

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 17 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka A

Download Nota
Maneno ya wimbo
Waufumbua mkono wako,wakishibisha kila kilicho hai,wakishibisha kila kilicho hai matakwa yake x2 1. Ee Bwana kazi zote zitakushukuru,na wacha Mungu wako watakuhimidi,wataunena utukufu wa ufalme wako,na kuuhadithia uwezo wako. 2. Macho ya watu yakuelekea wewe,nawe huwapa chakula wakati wakewaufumbua mkono wako,wakishibisha kilakilicho hai matakwa yake. 3. Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote,Bwana yukaribu na wote wa mwitao,wote wa mwitao kwa uaminifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa