Ingia / Jisajili

Mkristo Jongea mezani

Mtunzi: Edward D. Challe
> Mfahamu Zaidi Edward D. Challe
> Tazama Nyimbo nyingine za Edward D. Challe

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Edward Challe

Umepakuliwa mara 689 | Umetazamwa mara 1,618

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kiitikio. Mkristo jongea mezani pa Bwana, upokee mwili na damu ya Kristo x2 Amejidhihirisha kwetu ,katika maumbo ya mkate na divai,twendeni tushiriki kwa uzima wa roho zetu x2 Shairi. 1. Katika ekaristi na mwona Yesu na mpokea,japo afichika moyoni namkiri. 2. Twendeni wote kwenye karamu ya mapendano,karamu ya wema na neno wa Mungu. 3. Upendo mwingi na nguvu nyingi napata kwake,ni heri yangu kumpenda Yesu Kristo.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa