Ingia / Jisajili

Ondoka ee Yerusalemu

Mtunzi: Edward D. Challe
> Mfahamu Zaidi Edward D. Challe
> Tazama Nyimbo nyingine za Edward D. Challe

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Edward Challe

Umepakuliwa mara 627 | Umetazamwa mara 1,485

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio. Ondoka ee yerusalem usimame juu, tazama uione furaha inayokujia kutoka kwa Mungu wako. 1. Angalia wanawako wanakuja, ulio waaga wanajikusanya toka mashariki hata magharibi. 2. Kwa neno neno lake yeye aliye mtakatifu,wakiufurahia ufurahia utukufu wa Mungu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa