Ingia / Jisajili

Wewe Bwana Nguvu Zangu

Mtunzi: Ray Ufunguo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ray Ufunguo

Makundi Nyimbo: Misa | Zaburi

Umepakiwa na: Sebastian Ndibalema

Umepakuliwa mara 12,101 | Umetazamwa mara 16,146

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Benedicto Constantino Siwingwa Oct 28, 2024
Wimbo mzuri sana ila samahan mm ni mwanafunzi wa muziki na nimefanikiwa Kuwa mtunzi wa nyimbo na nimejisajili swahili music lakini sielew namna ya kuziweka nyimbo zangu mtandaoni tafadhali naomba msaada

W.A.chafumbwe Jul 20, 2024
Nyimbo nzuri, naomba wimbo "Moyo wangu"

Jean-Louis MAWAYA Dec 24, 2021
Hongera sana Mwenyenzi akunyunyuzie neema tele na wendelee kwa kazi yake. Naomba wimbo wa Shangwe za Noeli ???

Sr. Anna Oct 14, 2021
Naomba wimbo wa karamu ya Bwana Yesu

Ocestal Jul 10, 2021
Naomba wimbo Wa karamu ya bwana nimeupenda mno

Ocestal Jul 10, 2021
Hongera sana

Malkiadi Oct 02, 2020
Nyimbo zake tamu sana

Arnold Aloyce Mrema Aug 25, 2020
Wimbo umetulia sana Hongera kwa kipaji cha utungaji Naomba ikiwa zipo nyimbo nyingine za mtunzi huyo munifanyie atachement kwenye email yangu.ASANTE

Toa Maoni yako hapa