Ingia / Jisajili

YATOSHA

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Bernard Mukasa

Umepakuliwa mara 7,638 | Umetazamwa mara 10,181

Download Nota
Maneno ya wimbo
Yatosha sasa mahangaiko haya, yatosha, mapigo ni mengi mno. Yatosha sasa mateso makali haya, yatosha kabisa, yatosha mno. 1. Ee Mungu tazama chozi langu, sikiliza kilio changu. Narudi kwako mara nyingine, kulilia huruma yako. 2. Natamani nami nipumzike, Ee Mungu chukua hatua. Kwa nini unanyamaza kimya, naita mpaka nazimia? 3. Siwezi, siwezi ee Mungu; Mizigo yanielemea. 4. Upendo wako Mungu, nitautumainia bila kuchoka. 5. Huruma yako Mungu, ni huruma ya milele. Huruma yako Mungu, nitakufa nikiitumainia.

Maoni - Toa Maoni

Serge wangabo Mar 25, 2024
Napendaga sana mimbo ya Bernard mukasa ingalikua heri nianzake kupata ma partition

Toa Maoni yako hapa