Ingia / Jisajili

Yesu Mwema Najitolea

Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 10,821 | Umetazamwa mara 19,875

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

  1. Yesu mwema najitolea kwako kwa leo hii na siku zote.
    Nafsi yangu na moyo wangu wote.
    Heri kweli, heri kweli, heri kweli raha ya uwingu. x 2
     
  2. Ndani mwangu umekuja daima kuwa na mbi ni pendo lako.
    Ewe mpenzi mwenye utata mwingi.
    Ni mapendo, ni mapendo, ni mapendo ya moyo wako. x 2
     
  3. Nitaweza kukurudishia nini kwa wema huu na pendo lako.
    Roho yangu umeifadhilia.
    Nikupende, nikupende, nikupende ni tamaa yangu. x 2
     
  4. Weka Rabi katika roho yangu wema wako na unyenyekevu
    Na pendo kuu fadhila ya imani.
    Niongoze, niongoze, niongoze katika imani x 2


Maoni - Toa Maoni

thomas henga Jun 28, 2018
Hongera sana

peter Feb 22, 2018
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabuwimbo huu ni mzuri sana tatizo kidogo ni discords hapa na pale

Toa Maoni yako hapa