Ingia / Jisajili

Yesu ni Mzima

Mtunzi: Nelson Wandabusi
> Mfahamu Zaidi Nelson Wandabusi
> Tazama Nyimbo nyingine za Nelson Wandabusi

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka

Umepakiwa na: Nelson Wansabusi

Umepakuliwa mara 349 | Umetazamwa mara 1,171

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Alivyosema Yesu Alhamisi kuu kwamba siku tatu baada ya kifo chake msalabani atajifufua leo yatimia Yesu ni mzima (Njooni) tushangilie (Bwana) yeye amefufuka (kama) kama alivyosema yeye yeye ni mzima Ameyashinda mauti Yale (kashinda) navyo vita vya kiroho amevishinda Tushangilie na tumsifu (huyu ni) mfalme wa mbinguni ameshinda yelele yelele 2. Maria na wenzake walipofikia kaburi la Yesu, Walifadhika kwani lile jabali Lililofunika alipokua Yesu limebiringishwa. 3. Malaika wa Bwana wakawatokea, Na kuwauliza mwamtafuta nani Huyu mnayemtafuta ameshafufuka Kumbukeni yale, alowaambia 4. Jambo la kushangaza Yesu ni mzima, Alivyotabiri kwa mafunzo yake, Leo twashangalia, ushindi wa Bwana Dhambi zetu zote zimeondolewa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa