Ingia / Jisajili

Ni Mwenye Huruma

Mtunzi: Nelson Wandabusi
> Mfahamu Zaidi Nelson Wandabusi
> Tazama Nyimbo nyingine za Nelson Wandabusi

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Nelson Wansabusi

Umepakuliwa mara 86 | Umetazamwa mara 265

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 2 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana ni mwenye huruma na neema 1. Umsifu Bwana, ee nafsi yangu, na yote yaliyo ndani yangu, yalisifu jina lake takatifu! Umsifu Bwana, ee nafsi yangu, wala usizisahau fadhili yake yote. K 2. Yeye anasamehe dhambi zako zote, ANAponya magonjwa yako yote, YEYE anaukomboa uhai wako na kaburi. ANAkuvika taji la fadhili na rehema. K 3. Bwana anatenda mambo ya adili, na haki kwa wote wanaogandamizwa. Alimjulisha Musa njia zake, WANA WA Israeli matendo yake. 4. Bwana ni mwenye huruma na neema, hakasiriki upesi, ni mwingi wa fadhili. MA'NA kama vile mbingu ninavyoinuka juu ya nchi, NDIVYO wema wake uliyyo mkuu kwa wamchao.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa