Mtunzi: Agapito Mwepelwa
> Mfahamu Zaidi Agapito Mwepelwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Agapito Mwepelwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na:
Umepakuliwa mara 617 | Umetazamwa mara 1,404
Download Nota Download MidiYEYE ATOAYE.
Mungu humpenda, yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.
1.Tutoe sadaka safi, isiyo na doa, yakumpendeza Mungu.
2.Ametupa uhai sisi, ametubariki, twende tumshukuru.
3.Tutoe zaka Kamili, tusiache kutoa, zaka ya fungu la kumi.
4.Totoe mazao ya shamba, alotujalia sisi, twende tumshukuru.