Ingia / Jisajili

Ee Mungu Ngao Yetu

Mtunzi: Ernest Magunus
> Mfahamu Zaidi Ernest Magunus
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernest Magunus

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 39 | Umetazamwa mara 253

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

        KIITIKIO:

Ee Mungu Ngao yetu, uangalie, Umtazame uso Kristo wako.×2 

Hakika siku moja katika nyua zako ni Bora kuliko siku elfu.×2

MASHAIRI:

1.Ningependa kuwa bawabu Nyumbani mwa Mungu wangu, Kuliko kukaa katika hema za uovu.

2.Kwa kuwa Bwana, Mungu, Ni jua na Ngao, Bwana atatoa neema na utukufu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa