Ingia / Jisajili

Hazina Ya Mbingu

Mtunzi: Ernest Magunus
> Mfahamu Zaidi Ernest Magunus
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernest Magunus

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Shukrani

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 115 | Umetazamwa mara 462

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
||: Ni hazina Takatifu hazina isiyona doa ni hazina ya Mbingu hazina isiyooza Bila Nondo (Kitu) wala wevi hawavunji:|| 1. Basi nina jinyenye keza kwake Mungu aliye niumba nakunifanya jinsinilivyo Basi leo ninajongea, Nikampe zawadi, Nizuri ya kupendeza. 2. Mimi ni dhaifu EeBwana nimependa dhambi Mbele yako basi nakuomba Bwana Wangu sadaka hii naiwe, Malipizi, yamadhambi, Niliyotenda Mimi. 3. Nisehemu yapato langu ulonijalia EeBwana Kama ulivyo ipokea Sadaka ileya Abeli nakuomba, Bwana Wangu, Nakuomba pokea.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa